Kinacho mpoza Palmar nikua mngereza mpira wao unafikia kipimo haraka kuna mahara hauvuki kabisa kumbuka wakina Owen, Gerald, Laparnd, Cole, nk walifikia kiwango cha mwisho wakakosa jipya isipokua kushuka tu, ila angekua ni kutoka Latin America au Africa tungemtegemea mengi zaidi.Cole Palmer ni design ya kina Nwanko Kanu na Barbatov hawa wachezaji walikuwa slow ila very efficient. Ila kwa Messi ni ardhi na Mbingu,execution ya Messi uwanjani, ile brain anayo yy peke yake.
Kwa Messi umepatia ila kwa yule mgine hapana mpira wake ni wa bidii na training sio kipaji hana tofauti kubwa na wachezaji wa uingerezaWell well.
Inawezekana mafanikio ya haraka ya palmer hasa ufungaji umepelekea kuona ni rahisi kuwa MESS.
Wachezaji wengi at their early stages wanakuwa na very promising talents.kwa aliyesoma elimu ya shule ya msingi ni rahisi sana kusema mwanafunzi ana akili pale tu anapokuwa wa kwanza akiwa std 1 or two ila kwa wajuzi na wanataaluma wanafahamu kwamba akili ya mtoto shuleni tunaweza kuihukumu kuanzia Drs la tano.most of English players hata kwa palmer na foden Mimi nawachukulia kama wanaf wa darasa kwanza.tusubiri wakiwa Drs la tano-saba tutapata majibu.
Please tunza heshima ya mess na CR7.hawa watu hata kama huwapendi ila heshimu kile walichoufanyia mpira
Mkuu hujui Messi ata hapa kwetu Tanzania yule ni mtu mgine kwenye soka ya kipaji.kwan messi ndo nani huko wingereza?
kwan kuna ulazima wa kumjua kila mtu hapa dunian?Mkuu hujui Messi ata hapa kwetu Tanzania yule ni mtu mgine kwenye soka ya kipaji.
Katika hi generation hi 2000s naona Messi hajafikiwa wakina pale wa miaka ya 60s Maradona 80s Delma 90s cr is just over rated sio kiwango cha MessiKuna Pele mmoja,Kuna maradona mmoja Kuna messi mmoja Kuna Kuna Cr mmoja na delima mmoja.
Katika hi generation hi 2000s naona Messi hajafikiwa wakina pale wa miaka ya 60s Maradona 80s Delma 90s cr is just over rated sio kiwango cha Messi
Muingereza hawezi kuvuka miaka ya soka 30, akifika 31 utamkuta kwenye timu za midtable kama Everton, Southampton nk.Messi ni balaa jingine. Huyo dogo ataishia kwenye daraja la wakina riyad marlhez akisogea sana anaweza kufika mpaka ngazi ya gareth bale then atapotea kwenye early 30's
Pele bila Garrincha,Zico,Socrates hamna Pelle.Dinho kulikuwa na Marques na akina Decco,Zidane kulikuwa na akina Makelele na kiungo asiye imbwa Guti ambaye alikuwa na shughuli pevu hamna mchezaji anayeng'aa yy kama yy.Ila tuwe wakweli Messi bila Xavi na Iniesta anakuwa kama Di Maria aliechangamka.Messi angeenda Man city ya Pep sidhani kama angetamba kama alivyotamba pale Barca.Kwa hiyo kusema kuwa hatotokea kama Messi huo ni uongo.
Hamna kitu hapo, wala usijifariji.Watakubishia ila ndio uhalisia. Huyu dogo ni umeme hashikiki kirahisi
Wapo mkuu harry kane, giggs n.kMuingereza hawezi kuvuka miaka ya soka 30, akifika 31 utamkuta kwenye timu za midtable kama Everton, Southampton nk.
Ila hazard wa chelsea alikua moto sana, kama angeundeleza ule moto madrid, nadhani saiv angekua anazungumzwa ktk level kubwa.Well no offense yuko vizuri, walikuja wengi kufananishwa na messi including eden hazard
Ila Messi is Messi, yule ni elite level
Cole bado ana safari ndefu