Well well.
Inawezekana mafanikio ya haraka ya palmer hasa ufungaji umepelekea kuona ni rahisi kuwa MESS.
Wachezaji wengi at their early stages wanakuwa na very promising talents.kwa aliyesoma elimu ya shule ya msingi ni rahisi sana kusema mwanafunzi ana akili pale tu anapokuwa wa kwanza akiwa std 1 or two ila kwa wajuzi na wanataaluma wanafahamu kwamba akili ya mtoto shuleni tunaweza kuihukumu kuanzia Drs la tano.most of English players hata kwa palmer na foden Mimi nawachukulia kama wanaf wa darasa kwanza.tusubiri wakiwa Drs la tano-saba tutapata majibu.
Please tunza heshima ya mess na CR7.hawa watu hata kama huwapendi ila heshimu kile walichoufanyia mpira