Cole Palmer is the closest we have to Messi

Mkuu Harrycane ana mpira gani baada ya kutoka spurs Giggs sio muingereza
Harry kane kamaliza msimu jana akiwa top scorer wa bundersliga, msimu huu so far yeye ndie anaeongoza kwa magoli.

Giggs katokea Wales. Haya mataifa ya united kingdom yanaingiliana sana
 
Waingereza wanasema mchezaji wa Chelsea raia wa uingereza ana muelekeo wa kuwa Messi mwingine siku za mbeleni Wewe unakubali au unakataa?

We taja wa kwako mwenye muelekeo huo, mimi namkubali huyu dogo japo mimi ni mshabiki wa CFC.
LEO HANA MFANO, KWENYE FOOTBALL.

Leo ni package ya footbal, dinyo kamzidi vionjo pekee mess, cr7 kamzidi magoli pekee mess, but ukizungumzia football generally, hakuna mchezaji anaeikaribia package ya messi na hajazaliwa.
 
Ila tuwe wakweli Messi bila Xavi na Iniesta anakuwa kama Di Maria aliechangamka.Messi angeenda Man city ya Pep sidhani kama angetamba kama alivyotamba pale Barca.Kwa hiyo kusema kuwa hatotokea kama Messi huo ni uongo.
Messi kakiwasha sana hata baada ya xavi & iniesta kuondoka, pia kakikawasha sana tim ya taifa bila xavi wala iniesta.
 
Mwamba anashangaza sana, anataka kutuaminisha ile kasi na dribble za mess awapo na mpira, zilisababishwa na xavi & iniesta?
 
Alikuwa tena, kwani amekufa? Mesi ni GOAT sema ana
 
Sawa lazima kuepp mchezaji yoyote awe closest to messi sio lazima awe kama Messi, kwako ni nani?
Kwangu mimi since nimemuona messi dah kwa sasa sijaona kaka niwe tu muwazi
 
Waingereza wanasema mchezaji wa Chelsea raia wa uingereza ana muelekeo wa kuwa Messi mwingine siku za mbeleni Wewe unakubali au unakataa?

We taja wa kwako mwenye muelekeo huo, mimi namkubali huyu dogo japo mimi ni mshabiki wa CFC.
Acha kufananisha SGR na treni ya kwenda mpanda
 
Hivi uliwahi kumuona Messi akicheza katika umri wa huyo Cole Palmer?

Kwan taarifa yako tu katika umri huo Messi tayari alikuw na Balloon d'or
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…