Cole Palmer is the closest we have to Messi

Ache
Waingereza wanasema mchezaji wa Chelsea raia wa uingereza ana muelekeo wa kuwa Messi mwingine siku za mbeleni Wewe unakubali au unakataa?

We taja wa kwako mwenye muelekeo huo, mimi namkubali huyu dogo japo mimi ni mshabiki wa CFC.
Ni kumpa sifa za kijinga nyie waingereza mna shida gani? Delle alli,stealing,jack wilshear mliwapoteza kwenye game kwa upumbavu huo wa kumpa sifa mtu ambae hastahili cole palmer hata nusu ya mbape hajaifikia
 
Mkuu hawajasema amefikia ila wanasema anamuelekeo huo, kama wewe unapinga mwenye muelekeo huo ni nani kwasasa.
 
Sifa anastahili unataka tumpe antony wa man united wakati hastahili?
Mkuu wambie waacha mzaha, ile timu imesha jifia kifo cha mende laana ya kuimba vicombe vya Epl kipindi cha Furgson.
 
Waingereza wanasema mchezaji wa Chelsea raia wa uingereza ana muelekeo wa kuwa Messi mwingine siku za mbeleni Wewe unakubali au unakataa?

We taja wa kwako mwenye muelekeo huo, mimi namkubali huyu dogo japo mimi ni mshabiki wa CFC.
Clement Mzize wa Deportivo de Utopolo Vyura FC!
 
Nadhani kwenye baadhi ya aspects kama tu akijiboresha na kuwa na consistency ya misimu mingi, naweza kusema Palmer Ili afikie huko (huo ukaribu) anahitaji kuwa consistency sana, na hili ni tatizo la waingereza hukosa muendelezo mzuri Kwa misimu mingi. Mfano Palmer namuona ni mchezaji aliye na Vision na Creativity, kama tu akijiboresha na hivi vitu viwili Kwa misimu mingi basi atafikia Kwa mbali kile alichonacho na alichofanya Messi. Palmer anajua kufunga hii ni advantage kwake kufika level za karibu na kina Messi.

Kwanini nasema awe na consistency ya misimu mingi Ili at least afike Kwa mbali pale alipo Messi ni kwasababu Messi ni mchezaji anacheza anavyojua yeye, si mchezaji wa kumpa maelekezo mengi, lazima uingie kwenye mfumo wake wa kiuchezaji Ili ushinde kirahisi na hili kocha yoyote lazima alione mazoezini, kwasababu utaona effect zake kwenye pattern ya uchezaji wa timu kiasi ambacho hakuna mbadala.

Tatizo la wachezaji wa kingereza ni muendelezo mzuri.
 
Hakuna Ubaya kumtabiri Mwingereza mwenzao Jambo jema na la kheri, Nawewe unaweza mtabiria Kibu kuwa kama Drogba ajaye.
Mungu anataka Wanadamu tutakiane kheri na si chuki.
 
Waingereza wanasema mchezaji wa Chelsea raia wa uingereza ana muelekeo wa kuwa Messi mwingine siku za mbeleni Wewe unakubali au unakataa?

We taja wa kwako mwenye muelekeo huo, mimi namkubali huyu dogo japo mimi ni mshabiki wa CFC.
Well no offense yuko vizuri, walikuja wengi kufananishwa na messi including eden hazard
Ila Messi is Messi, yule ni elite level

Cole bado ana safari ndefu
 
Waingereza wanasema mchezaji wa Chelsea raia wa uingereza ana muelekeo wa kuwa Messi mwingine siku za mbeleni Wewe unakubali au unakataa?

We taja wa kwako mwenye muelekeo huo, mimi namkubali huyu dogo japo mimi ni mshabiki wa CFC.
Cole Palmer ni design ya kina Nwanko Kanu na Barbatov hawa wachezaji walikuwa slow ila very efficient. Ila kwa Messi ni ardhi na Mbingu,execution ya Messi uwanjani, ile brain anayo yy peke yake.
 
Back
Top Bottom