Colgate Total ni salama au inasababisha kansa?

EMT

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
14,477
Reaction score
15,325
Chanzo: TheCitizen
 
Eeeh mbona shida sasa jamani

Lol! Shida gani tena wakati una choice bwerere za dawa za meno madukani? How about kufanza bayana kiduchu kwa kuonyesha uzalendo na ku-switch to White Dent for starters? :brushteeth:
 
Lol! Shida gani tena wakati una choice bwerere za dawa za meno madukani? How about kufanza bayana kiduchu kwa kuonyesha uzalendo na ku-switch to White Dent for starters? :brushteeth:

Nilikuwa nawaza tu ni watu wangapi wametumia na wanaendelea kutumia Colgate wakiamini ni dawa salama kwao. Madhara si tunakuwa tushayapata jamani...! Itabidi turudie kwenye enzi zetu za kupiga mswaki na vijiti gani sijui vile hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…