Collabo na Alikiba: Je, Davido ni njia kuu ya wasanii wa Tanzania kuwika kimataifa?

Hussein Massanza

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
1,016
Reaction score
2,195
Hakuna ubishi kwamba Davido, msanii kutoka Nigeria, anayewika na kufanya vizuri pengine kuliko msanii yeyote kwa sasa (kizazi kipya) nchini humo na Afrika kwa ujumla, ndiye msanii aliyemrahishia msanii namba moja wa Tanzania, Diamond Platinumz kulipata 'TOBO' la kimataifa kwenye kazi hizi za muziki wanazofanya..

Huo ni utangulizi, siandiki makala...

Lengo la kuuleta huu uzi hapa, ni kujaribu kubashiri kitakachotokea endapo atafanikiwa 'kwa mara ya pili' kumtafutia TOBO mwanamuziki mwingine kiwango wa BongoFleva, Ally Kiba na kuweza kufahamika Nigeria na duniani kama ilivyokuwa kwa Chibu.

Kwa ufupi ni hivi, Collabo kati ya Davido na Ally Kiba imeshaanza kunukia kama alivyothibitisha mwenyewe Davido kwenye interview aliyofanya na mshikaji wetu wa nguvu MillardAyo.

Story nzima juu ya hili imo kwenye hii video fupi...

 
Last edited by a moderator:
Tusubiri na ye akitoboa kimataifa tutajua davido ni msaada. And vice versa. Hata akiwa msaada sio mbaya. Njia ni njia tu ilimradi sio haramu.

Anabugi, anaendelea kurudia makosa yale yale.
 
mkuu mbona kiba tayari wa kimataifa kitambo tu alishatoboa na R.KELLY, kishatoboaaaa sio kama mond mzee wa mbeleko nibebe
 
labda useme kuwa davido anataka mbeleko ya kiba hili nae akale shavu na r.kelly
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…