Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,076
Hii collabo isingekuwa ya kiba ingewekwa video ya Davido na caption ya 'Africa I swear you gonna love this for sure'
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watabadilisha korasi tu, hawa walishawahi kuishiwa kibwagizo?
#santekingkwakufuatanyayozawadiamond .
Kiba anaimuiga Mondi si ndio?
Hii collabo isingekuwa ya kiba ingewekwa video ya Davido na caption ya 'Africa I swear you gonna love this for sure'
Hata kwenye wimbo NUMBER ONE kuna mstari davido a member " Tanzania to Lagos I can make you famous".hvyo iko wazi kuwa hilo na haina ubishi kuwa davido ndio kamtoa chibuu
Kingkiba hategemei collabo kutoboa ye anajiamini anafanya mwenyewe
Haaahaa ila Diamond jamani! Mi nacheka tu hapa, najiuliza hii collabo kwanini itokee sa hivi?   
#Tafakarichukuahatuaachakiburi !
Mkwanja wa maaaana mkuuu?
Diamond nyokoolosti sana...Majuzi hapa kuna mademu ilibidi waanze tu period bila kupenda