Collabo na Alikiba: Je, Davido ni njia kuu ya wasanii wa Tanzania kuwika kimataifa?

Hii collabo isingekuwa ya kiba ingewekwa video ya Davido na caption ya 'Africa I swear you gonna love this for sure'
 
wakuu hapa tutaelewana tu kuwa kwa vigezo hivi KING ataendelea kukimbiza na kusomba tuzo apendavyo. moja,ANANIDHAMU YA MZIKI,pili.ANA SAUTI YA PEKEE,tatu HANA SKENDO.nne.ANA TUNGO NA MZIKI WA PEKEE.tano.HATEGEMEI KIKI ZA SKENDO KUTOBOA.sita.TUNGO YAKE MOJA INA UWEZO WA KUBEBA TUZO ZAIDI YA 6.saba.ANA MKWANJA WA MAANA.nane ANA FAMILIA YANI MKE NA WATOTO NA ANAIPENDA SANA.tisa.ANAHESHIMU SANA MASHABIKI WAKE.kumi.NI BALOZI WA UMOJA WA MATAIFA,eleven.ANAFANYA KAZI ZA KIMATAIFA ZAIDI.pia king anapendwa na watu wa kila rika na sio mbaguzi na hana dharau za kitototo. king akitoa single moja ni balaaa tupu mtaani hakukaliki. na hana tabia ya kutoa single 10.within a week.ALWAYS KING IS A KING.
 
Shida ya wasanii Wa kwetu kutojishusha.Kiba ana kipaji sana ila mziki si kipaji pekeyake yapo mengi nyuma yake.Kuna kujitangaza,kujipendekeza na mengi kibao.mengi diamond anayo ila kiba abadilike bila hivyo hatutafika
 
Hata kwenye wimbo NUMBER ONE kuna mstari davido a member " Tanzania to Lagos I can make you famous".hvyo iko wazi kuwa hilo na haina ubishi kuwa davido ndio kamtoa chibuu
 
HAHAAHHAHAHAHAHA

Bwahahahahaahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha

Kwahahaahahahahahaha kwkwoaaajaaiaa

Mandoroooooooobooooooooooooooooooooooooo
 
Hata kwenye wimbo NUMBER ONE kuna mstari davido a member " Tanzania to Lagos I can make you famous".hvyo iko wazi kuwa hilo na haina ubishi kuwa davido ndio kamtoa chibuu

hahahhahha...Na chibu hafanyi juhudi yoyote amekaaa tu?
 
Hahahaha wataelewa tu alaf umesahau na hii kuwa wasanii wa kimataifa ndiyo wanaomba colabo na king
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…