Collabo na Alikiba: Je, Davido ni njia kuu ya wasanii wa Tanzania kuwika kimataifa?

Moja kati ya vitu vinavyomfanya huyu bwana apendwe,ukiachilia mbali uwezo mkubwa wa kuitumia sauti yake,sauti iliyomshangaza R.Kelly na uwezo wake mkubwa wa kuimba kias cha kupewa jina la "pop it in"..kingine kizuri ni kwamba huyu mtu huwa hana maneno meeengi na si mtu wa majisifu...me katika pitapita zangu si ndo nkamskia DAVIDO anasema ana project na KIBA??... lets wait n see maana nnavyomjua jamaa hakoseagi bongofleva+naija flavour=...jaza ww
 
Duh! Hii ni sawa na mwanaume anayeshangilia na kutamba kupata mtoto wa kiume wakati hata chu'pi bado hajavuliwa!!!
 
Thread ya kujifariji na Maumivu!!! From Kidingi>>> BRAZIL 1 vs GERMAN 7
 
Last edited by a moderator:
Si mlikuwa mnasema hahitaji collabo... Imbeciles
 
king ni noma... Ndo maana hataki kumiliki nyumba anataka kupanga na wanachi wenye maisha ya kawaida
 
wakuu nina swali dogo hapa kwa nini davido katokea kumganda kiba akitaka wafanye colabo?
 
labda Anataka amfikishe Sehem Flan ,mbal zaid ya sasa
 
Wameitwa AFRIMMA woote waloitwa wamefanya kazi na wasanii wa nje katika nyimbo zao dimpoz+j.martins,vee money+ko,dimond+davido&mr flavour bt ni kiba2 ndo hajaenda na "kick" ya aina hiyo...kubali kataa kiba ni jini la muziki..
 
wakuu nina swali dogo hapa kwa nini davido katokea kumganda kiba akitaka wafanye colabo?

Em' weka picha tuone kama kwel kamganda alafu ntajua nikupe jibu gan.Unaweza kuwa team Kiba wew
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…