John Rogath Nguzo
Senior Member
- Dec 31, 2011
- 148
- 52
Moja kati ya vitu vinavyomfanya huyu bwana apendwe,ukiachilia mbali uwezo mkubwa wa kuitumia sauti yake,sauti iliyomshangaza R.Kelly na uwezo wake mkubwa wa kuimba kias cha kupewa jina la "pop it in"..kingine kizuri ni kwamba huyu mtu huwa hana maneno meeengi na si mtu wa majisifu...me katika pitapita zangu si ndo nkamskia DAVIDO anasema ana project na KIBA??... lets wait n see maana nnavyomjua jamaa hakoseagi bongofleva+naija flavour=...jaza ww