Collabo na Alikiba: Je, Davido ni njia kuu ya wasanii wa Tanzania kuwika kimataifa?

Collabo na Alikiba: Je, Davido ni njia kuu ya wasanii wa Tanzania kuwika kimataifa?

wakuu kuna tetesi kuwa mond amemwomba king amuunganishie na r.kelly.
 
Kiba abebeki,amemshindwa R KELLY atamuweza davido ambae umaarufu wake mwisho Africa?yaan ingekuwa darasan kiba sawa na mtoto asiefundishika.....
 
ngoja nkutajie list ya wanamuziki siyo wasanii..
1.Barnaba Elias
2.Ally Kiba
3.Belle 9
4.Ben Paul
5.Dimond........na nkupe tu taarifa mkuu kwamba ikitokea hao watu nlowaorodhosha hapo juu wakianza kufanya International Collaboration hali itakuwa siyo nzurii kwa ndugu zetu zetu maana wao wanahisi namba 5 hapo juu ndo kila kitu kwa muziki wa Tanzania lakini siyo kweli hahahahaaa ni suala la nafasi tu...ahsante hop tumeelewana.

Sasa hizo nafasi namba 1 to 4 hawazipendi nini? Hahaha you are so funny keep it up!!!
 
ImageUploadedByJamiiForums1437595671.477326.jpg
 
inawezekana kabisa diamond anapo pita lazima wengine wapite si ndo rais yule bila kupita njia ya mondi bin laden prezidaa wa muziki nchini mtafanikiwaje ni ku serereka tu aliko pita chibu ili tutoke nasisi.
 
Back
Top Bottom