Collabo na Papa Wemba: Diamond Platnumz kashashindikana

Hadi raha si kwa mavideo klipu huko snapchat kama vile tupo nae

Hongera zake nyingi kwa kupeperusha nchi yetu kimataifa. Namuombea Mungu azidi kumsimamia.
 
Diamond anakuzwa hapa tu Bongo na kuhusu tuzo kwakweli awashukuru Nigerians kwa kumbeba. Ila kwa maana ya msanii wa Africa aliyetusua hakuna anayemkaribia WizKid wa Nigeria, jamaa anatafutwa na American musicians maarufu kwaajili ya colabo,hawatafuti. Still I appreciate what Diamond is doing,but not to the extent his fans would want us to believe. I like him,he is a hard worker and he is doing a good job to take our music to another level.
 
wadau habarini
Ndugu yetu kitaifa yupo huko kwa wazungu
ila kashaanza kutusumbua na wimbo wake wa #boranibakipekeyangu
ft.hayati papa wemba
kwa kifarasa sijui presuko sheo nin sijui
btw mwenye wimbo atudondoshee tuburudike
Sio wimbo wake....yeye ndiyo kashirikishwaaaa...
 
WizKid wa Nigeria, jamaa anatafutwa na American musicians maarufu kwaajili ya colabo,hawatafuti.

Aisee haya ni mahaba ya mwendo kasi.! Ulishuhudia akiwa anatafutwa au wewe ni meneja wake???

Diamond na wizkid ni wanamuziki wawili tofauti wanafanya muziki tofauti na hata wao wenyewe ni watu wenye personality mbili tofauti..!!

Wiz ni msanii mzuri sana na yuko kwenye ubora wake but its Diamond Platnumz who is running the continent kwa sasa!!!
 
Kama ndugu yako wa damu ulimfanyia chuki kwanini tushangae kwa Mondi ambaye huna udugu naye?

Chuki mbaya sana.
 
Wimbo mzuri. Masikin papa wemba km bado yu hai[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Shaka su sweeeeee ... ,[emoji444][emoji444][emoji444][emoji444]Shaka Su eeeeehh yaan ni bora Peke yanguuu


Wimbo mtamu sanaaaa
 
Nimejikuta nausikiliza huo wimbo usiku kucha hadi tumenuniana na wife, hapa sa hivi nasinzia sinzia tu ofcn, Diamond ni high level aisee kwa East Afrika.


Wife kakasirika sababu unampigia kelele usiku kucha na pombe zako. Muache mwenzako alale tafadhari.
 
Kuna mtu anadai WizKid anatafutwa na wanamuziki huko Marekani ili wafanye nae collable. Teh teh teh mi mwenyewe nashangaa WizKid sijui kajificha wapi!
 
That's a blatant lie. Again Diamond can't make it without piggybacking on other successful musicians. But I have to admit, Diamond knows how to use the opportunities he got to his own advantage.
 
LOL..
 
huu wimbo ni hatar tupu jamaa anajua
 
That's a blatant lie. Again Diamond can't make it without piggybacking on other successful musicians. But I have to admit, Diamond knows how to use the opportunities he got to his own advantage.
That's intelligence! Mziki sio kushika mic na kuruka ruka pekee.. Unatakiwa uwe na mipango!! Hivyo ndivyo moguels wote wanavyofanikiwa.. Diddy, Hov, 50 au hapa home AY, jay haule, etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…