Alwayz on top
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 706
- 268
Usiwe na wivu kijana utamuelewa tuHuyo icon ya watoboa pua tu icon sio tz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiwe na wivu kijana utamuelewa tuHuyo icon ya watoboa pua tu icon sio tz
Hahahaha!! Inabidi uhamie Taiwan, maana Africa kashaiweka kiganjanitusiompenda tufanyaje?
Ha ha ha ha ha ha ha mmhMjipime oil
Sio wimbo wake....yeye ndiyo kashirikishwaaaa...wadau habarini
Ndugu yetu kitaifa yupo huko kwa wazungu
ila kashaanza kutusumbua na wimbo wake wa #boranibakipekeyangu
ft.hayati papa wemba
kwa kifarasa sijui presuko sheo nin sijui
btw mwenye wimbo atudondoshee tuburudike
WizKid wa Nigeria, jamaa anatafutwa na American musicians maarufu kwaajili ya colabo,hawatafuti.
Kama ndugu yako wa damu ulimfanyia chuki kwanini tushangae kwa Mondi ambaye huna udugu naye?Diamond anakuzwa hapa tu Bongo na kuhusu tuzo kwakweli awashukuru Nigerians kwa kumbeba. Ila kwa maana ya msanii wa Africa aliyetusua hakuna anayemkaribia WizKid wa Nigeria, jamaa anatafutwa na American musicians maarufu kwaajili ya colabo,hawatafuti. Still I appreciate what Diamond is doing,but not to the extent his fans would want us to believe. I like him,he is a hard worker and he is doing a good job to take our music to another level.
Shaka su sweeeeee ... ,[emoji444][emoji444][emoji444][emoji444]Shaka Su eeeeehh yaan ni bora Peke yanguuuWimbo mzuri. Masikin papa wemba km bado yu hai[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Nimejikuta nausikiliza huo wimbo usiku kucha hadi tumenuniana na wife, hapa sa hivi nasinzia sinzia tu ofcn, Diamond ni high level aisee kwa East Afrika.
Aisee haya ni mahaba ya mwendo kasi.! Ulishuhudia akiwa anatafutwa au wewe ni meneja wake???
Diamond na wizkid ni wanamuziki wawili tofauti wanafanya muziki tofauti na hata wao wenyewe ni watu wenye personality mbili tofauti..!!
Wiz ni msanii mzuri sana na yuko kwenye ubora wake but its Diamond Platnumz who is running the continent kwa sasa!!!
LOL..Aisee haya ni mahaba ya mwendo kasi.! Ulishuhudia akiwa anatafutwa au wewe ni meneja wake???
Diamond na wizkid ni wanamuziki wawili tofauti wanafanya muziki tofauti na hata wao wenyewe ni watu wenye personality mbili tofauti..!!
Wiz ni msanii mzuri sana na yuko kwenye ubora wake but its Diamond Platnumz who is running the continent kwa sasa!!!
That's intelligence! Mziki sio kushika mic na kuruka ruka pekee.. Unatakiwa uwe na mipango!! Hivyo ndivyo moguels wote wanavyofanikiwa.. Diddy, Hov, 50 au hapa home AY, jay haule, etcThat's a blatant lie. Again Diamond can't make it without piggybacking on other successful musicians. But I have to admit, Diamond knows how to use the opportunities he got to his own advantage.