lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
wakuu hii colabo itafanyika washington DC . kijana K 4 REAL anazidi kupaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh Teh kijana wa Mwl Evelyn Salt....eti Sakafu....
Bila shaka una stahili tuzo ya kuanzisha thread..!
Diamond banah!hichi kipande kinanichekesha sana!Khadija anaimba hivi;
Hehehee!huna haya kama kibakuli cha vumba??
Popote unajitokeza babu eeeh!!ahaha!
We kichoji tu unaingia kwenye kundi la minga??utachanika mabawaaa!!!!
CHIBU ANAJIBU;
Aagha!Zingifuri zingifuri ungezinga mahala ukakaaa!!
Uso mila desturi,usojua tongozwa ukakataa!!
Uso hiana fedhuri,uongo umekujaa!!,
Kujifanya mashughuri kumbe chaka umechakaa!!
Aaagh!mwenzako mimi turufu si garasaa aaa!!,
Mwenyenyota ya umaarufu sio kupapasa aaa!
Tena joka ni la nguvu,la karataaa!!Ile hodari magugu si bwasabwasaaa!!ah.
Chibu bwana!!
hahaaa hadija kopa kauwaaa
wakuu hii colabo itafanyika washington DC . kijana K 4 REAL anazidi kupaa
Sakafu hawezi pata akili mpaka tuache kumkanyaga
Usher raymond atakuepo mliman city thus kiingilio 3ml video yao itazinduliwa kws mara ya kwanza matangazo mtayaona na kutasikia kuanzia jumapili ya tareh 26pole sana ya diamond ft usher raymond iko tayari
sio tu kuanzisha thread bali na kufanya jitihada za kupigana na jiweTeh Teh kijana wa Mwl Evelyn Salt....eti Sakafu....Bila shaka una stahili tuzo ya kuanzisha thread..!
sio tu kuanzisha thread bali na kufanya jitihada za kupigana na jiwe
Tuwekee link za youtube za colabo na kiba na hao wasanii uliowataja hapo juuAli alifanya kolabo na 2face,fally ipupa ,akon teeeena chini ya production ya R.Kelly na bado haikufanya ajione he is gifted!
Itakuja kuwa kolabo na chriss brown,huuuuyi chris brown anayejichubua ama naaani?
Psyuuuuuuuu
Kama ndoto zake hazijatimia aendelee kulala