Collabo ya King Kiba na Chriss Brown

Collabo ya King Kiba na Chriss Brown

Nikajua imefanyika ndo umetuwekea tupakue doh
 
Teh Teh kijana wa Mwl Evelyn Salt....eti Sakafu....
Bila shaka una stahili tuzo ya kuanzisha thread..!
 
Last edited by a moderator:
Diamond banah!hichi kipande kinanichekesha sana!Khadija anaimba hivi;
Hehehee!huna haya kama kibakuli cha vumba??
Popote unajitokeza babu eeeh!!ahaha!
We kichoji tu unaingia kwenye kundi la minga??utachanika mabawaaa!!!!
CHIBU ANAJIBU;
Aagha!Zingifuri zingifuri ungezinga mahala ukakaaa!!
Uso mila desturi,usojua tongozwa ukakataa!!
Uso hiana fedhuri,uongo umekujaa!!,
Kujifanya mashughuri kumbe chaka umechakaa!!
Aaagh!mwenzako mimi turufu si garasaa aaa!!,
Mwenyenyota ya umaarufu sio kupapasa aaa!
Tena joka ni la nguvu,la karataaa!!Ile hodari magugu si bwasabwasaaa!!ah.

Chibu bwana!!
 
hahaaa hadija kopa kauwaaa
 
Ali alifanya kolabo na 2face,fally ipupa ,akon teeeena chini ya production ya R.Kelly na bado haikufanya ajione he is gifted!
Itakuja kuwa kolabo na chriss brown,huuuuyi chris brown anayejichubua ama naaani?
Psyuuuuuuuu
 
pole sana ya diamond ft usher raymond iko tayari
Usher raymond atakuepo mliman city thus kiingilio 3ml video yao itazinduliwa kws mara ya kwanza matangazo mtayaona na kutasikia kuanzia jumapili ya tareh 26
 
Ali alifanya kolabo na 2face,fally ipupa ,akon teeeena chini ya production ya R.Kelly na bado haikufanya ajione he is gifted!
Itakuja kuwa kolabo na chriss brown,huuuuyi chris brown anayejichubua ama naaani?
Psyuuuuuuuu
Tuwekee link za youtube za colabo na kiba na hao wasanii uliowataja hapo juu
 
Back
Top Bottom