Collaboration bora zaidi za Bongo Fleva

1) Kwangwaru Diamond ft Harmonize
2) Dhahabu Dully Sykes ft Mr. Blue na Joselen
3) Mwasiti ft Chid Benz- Hao
4)Ngwea ft Ferooz..- Mitungi Mikasii
5) Ferooz ft Prof J - Starehe
6) Noorah ft Ray na ... - Basi kama vipi
 
Nashindwa hata kuchagua
Ni nyingi mnoo
Ila usiusahau Mzee wa Busara remix - Nature X Inspt Haroon
Hawa jamaa kwenye ubora wao walikua hatari na mahasimu sana lakini waliweka pembeni tofauti zao wakaja na na hili singo
Lilisumbua sana
Acha uongo!
Nature na Haroun hawakuwahi kuwa mahasimu...
 
Hizi ngoma wakati zinakiki nilikuwa bado mdogo lakini nilizielewa sana
 
Jcb ft Fid q & J mo & chidi benz - ukisikia paa.

Jafarai ft Daz baba - ndugu zangu msinitafute.

Mr II ft stara thomas - wanachotaka [ Hii ni yangu bora kabisa ya Hip hop]

X-ray ft Fid q & Roma &. Jose mtambo - Rais wa ghetto.

Ngwear ft dark Master - Nipeni dili.
 
Mkuu hiyo ngoma ya Report za mtaani si ya Fid q ft zahir zorro kweli.
 
Inspector haroun ft jeby - Pamba nyepesi

Cpwaa, Ngwear, dully, ms trinity - action

Msodoki ft belle9 - dear gambe

K basil ft Stara thomas - ridhiki

Wamitulinga ft Binamu - Jukumu letu
We jamaa kama ulikuwa akilini mwangu... Jebby aliua sana kwenye Pamba nyepesi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimependa list yako, hapo kwenye mtazamo.

Mpaka leo sijawahi ona collabo kama ile
 
Mzee wa busara nayo ilikuwa balaa enzi hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…