Numero Uno
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 607
- 1,302
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka kusemaje?The real BET wine
Hapa tunaangalia ujumbe wa nyimbo Burna snakemea maovu ya serikali alafu mondi yeye anaimba acha nikae kimyaOdogwu inavyoanza mondi kaiga intro kaweka kwenye Jeje
Jaribu kufanya facts check mzee. Nadhani Jeje imeanza kutoka kabla ya Odogwu.Odogwu inavyoanza mondi kaiga intro kaweka kwenye Jeje
Huu mgoma ni nomaKilomii....kilomii...kilomii....kilometre [emoji445][emoji445]
Sina haja ya kufanya fact check.Jaribu kufanya facts check mzee. Nadhani Jeje imeanza kutoka kabla ya Odogwu.
Mjomba, Jeje imeanza kutoka kabla ya Odogwu!Sina haja ya kufanya fact check.
Hakuna mnaija anaeiga chochote kwenye bongo fleva labda iwe kolabo.
So ukiona kionjo kipo bongo fleva na naija ujue kimetoka naija.
Sasa ukija na lugha ya 'hujui' nitakuacha kwa kukuona mpumbavu. Kama unataka tuendelee kujadili usjaribu kutoa statement za kuni jaji. Upo tayari?Mjomba, Jeje imeanza kutoka kabla ya Odogwu!
Wewe umesema Diamond ameiga intro ya Odogwu ameweka kwenye Jeje!
Au haujui hata ulichokiandika?
Sasa ukija na lugha ya 'hujui' nitakuacha kwa kukuona mpumbavu. Kama unataka tuendelee kujadili usjaribu kutoa statement za kuni jaji. Upo tayari?
Jeje Diamond aliiga Joro.Mjomba, Jeje imeanza kutoka kabla ya Odogwu!
Wewe umesema Diamond ameiga intro ya Odogwu ameweka kwenye Jeje!
Au haujui hata ulichokiandika?