maghambo619
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 1,537
- 1,360
Shida mashabiki wa mondi ni waumini wa dini,
Jeje Diamond aliiga Joro.
Beat mpaka video. [emoji116][emoji116]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jeje Diamond aliiga Joro.
Beat mpaka video. [emoji116][emoji116]
Wewe ni mwehu!Chawa uyo
Jeje Diamond aliiga Joro.
Beat mpaka video. 👇👇
Wewe hauko timamu kwa "head", nani amekujaji?Sasa ukija na lugha ya 'hujui' nitakuacha kwa kukuona mpumbavu. Kama unataka tuendelee kujadili usjaribu kutoa statement za kuni jaji. Upo tayari?
Wewe "mwehu", Jeje imeanza kutoka kabla ya Odogwu!!!Nazungumzia intro ya Jeje boss.
Burnaboy anaanza
'aahh Champion'
Chibu anaanza
'aah Platnumz'
Usibishanie usichojua wewe - ntakutukana kesho.Wewe "mwehu", Jeje imeanza kutoka kabla ya Odogwu!!!
Chawa ni chawa tu, hamna jinsi.Wewe hauko timamu kwa "head", nani amekujaji?
Kwahiyo kionjo ni cha Kel P, sio Burna Boy? Jeje na Odogwu, zote zimetengenezwa na Kel P, unajuaje kama sio idea ya Kel P Diamond kutumia hicho kionjo?Kumbuka sikusema hicho kionjo kimeanzia kwenye Odogwu.
Odogwu na Jeje producer mmoja - Kel P.
Hicho kionjo ni cha Kel P na kakitumia na Burnaboy tangu 2019.
Track - 'Wetin man do go'.
Album: African Giant
"Mwehu" ni "Mwehu" tu.Chawa ni chawa tu, hamna jinsi.
La mama akoSina haja ya kufanya fact check.
Hakuna mnaija anaeiga chochote kwenye bongo fleva labda iwe kolabo.
So ukiona kionjo kipo bongo fleva na naija ujue kimetoka naija.
We yule yuleLa mama ako
Wewe ni mwehu!
Production zake za levo za unyamwezi