Collateral demage Burna boy

Odogwu

Your browser is not able to play this audio.
 
Odogwu inavyoanza mondi kaiga intro kaweka kwenye Jeje
 
Odogwu inavyoanza mondi kaiga intro kaweka kwenye Jeje
Hapa tunaangalia ujumbe wa nyimbo Burna snakemea maovu ya serikali alafu mondi yeye anaimba acha nikae kimya
 
Jaribu kufanya facts check mzee. Nadhani Jeje imeanza kutoka kabla ya Odogwu.
Sina haja ya kufanya fact check.
Hakuna mnaija anaeiga chochote kwenye bongo fleva labda iwe kolabo.
So ukiona kionjo kipo bongo fleva na naija ujue kimetoka naija.
 
Sina haja ya kufanya fact check.
Hakuna mnaija anaeiga chochote kwenye bongo fleva labda iwe kolabo.
So ukiona kionjo kipo bongo fleva na naija ujue kimetoka naija.
Mjomba, Jeje imeanza kutoka kabla ya Odogwu!
Wewe umesema Diamond ameiga intro ya Odogwu ameweka kwenye Jeje!
Au haujui hata ulichokiandika?
 
Mjomba, Jeje imeanza kutoka kabla ya Odogwu!
Wewe umesema Diamond ameiga intro ya Odogwu ameweka kwenye Jeje!
Au haujui hata ulichokiandika?
Sasa ukija na lugha ya 'hujui' nitakuacha kwa kukuona mpumbavu. Kama unataka tuendelee kujadili usjaribu kutoa statement za kuni jaji. Upo tayari?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…