Shule wanazojenga watoto wao hawasomi, wakiuugua wanalazwa hospital za mtoni, na bado kuwachagua hamkomi kwa huo ujinga, umaskini na maradhi hamponi.
Ukweli heri unenwe ila usinenwe ki ukamala, hii katiba ya wananchi au katiba ya watawala, wanarithishana viti alafu na sisi tumelala eti mkaa kimya siku hizi ndo MZALENDO NALA...
KATIBA MPYA - MBISHI NIKKI