Collection ya Quotes nzito kutoka kwenye nyimbo za Hip Hop

Collection ya Quotes nzito kutoka kwenye nyimbo za Hip Hop

Dizasta Vina aliiacha hii quote
"Ujinga haufichwi kwa wigi au kofia"
 
Maisha ya mtaa nayoyajua, sio ya shule niliyoyasoma.. ndo maana Fid wanaemjua yuko tofauti na wanayemuona..
Fid Q Zero
 
Bora masikini ila sio kolombwea, demu unaemuamini ndo anakupa gonorrhea...

Young D Nimekasirika
 
Napenda vitovu ila naogopa shanga ama bado mtoto ama labda bado mchanga wote wanavaa vikuku ili kuleta picha ya ngono we usubiri ipigwe raga kaunta wanavyokata mauno- Wanapendana FA
 
Mi ni almasi mchangani sema tu sijastukiwa,mgodi unaotembea wajinga wanashindwa kuelewa, usiseme unanijua hata uswazi nafagiliwa, so ukiniita brother man watu watashindwa kuelewa...
F.A Binamu
 
Ninakotoka mimi watu wanaogopa lakini,
Hisabati ni kila kitu mabati yako chini chini,
Harakati za dini zinaskika kwa mbali,
Ingawa spika ni kali watu wanasita kuswali….Hasheem Dogo Mwendawazimu.
 
Beanie Sigel - Feel it in the air

I read between the lines of the eyes and your brows
Your handshake ain't matching your smile,
 
Fid q ft Saida karoli
wimbo :kiberiti
"..ukijikuna tako using'ate kucha kwa meno..."
 
Jasho la machinga linalambwa na wadosi, jua la utosi linachoma zaidi ya Kuni, ridhiki miguuni, duka li mkononi na nauza kwa mashaka, mgambo naye anataka...
Bonta Mti wenye matunda
 
"Mlevi utakunywa bapa zote Ila sio bapa la panya " stamina magazijuto

Huwa nawaza hivi kusingekuwa na pesa mademu wangetuomba nini?? "Mc bando"
 
Nilitamani nimfuate nimueleze nilichowaza ila nilishindwa coz( i am not a superhero)...
Na haikuwa filamu so..i was not a heroo.....kusimulia ni dhahania uhalisia hauna Herooo

Dizasta vina_ not a super hero
 
Back
Top Bottom