Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Wakuu Chuo hiki kinajenga wapi College yao ya afya pale Mbeya? Mkuu wao wa chuo, JK aliwaombea eneo la kujenga chuo.
Waliomba wajenge viwanja vya Tanganyika packers. Badaaye nasikia wizara ya kilimo walisema lile eneo wana kazi nalo, wanataka kufuga ng'ombe hivyo chuo wakapewa eneo jingine.
Ni wapi huko wamepewa eneo?