Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Mbeya Tanganyika Packers wana eneo kubwa sana.Mara mbeya mara tanganyika packers
Sujakuelewa!?;;;!!!???
Mbeya nako kuna Tanganyika Packers?Wakuu Chuo hiki kinajenga wapi College yao ya afya pale Mbeya? Mkuu wao wa chuo, JK aliwaombea eneo la kujenga chuo. Waliomba wajenge viwanja vya Tanganyika packers. Badaaye nasikia wizara ya kilimo walisema lile eneo wana kazi nalo, wanataka kufuga ng'ombe hivyo chuo wakapewa eneo jingine.
Ni wapi huko wamepewa eneo?
Wanaeneo kubwa sana.Mbeya nako kuna Tanganyika Packers?
Mi nilijua ni kawe tu.
Wanaudsm wanashida gani kwani kuelekea ubungo msewe na changanyiken kuna mieneo mikubwa tu ukija upande wa hall six na kanisani kuna mipori na mipor kwann wasijengee humo !?Wakuu Chuo hiki kinajenga wapi College yao ya afya pale Mbeya? Mkuu wao wa chuo, JK aliwaombea eneo la kujenga chuo. Waliomba wajenge viwanja vya Tanganyika packers. Badaaye nasikia wizara ya kilimo walisema lile eneo wana kazi nalo, wanataka kufuga ng'ombe hivyo chuo wakapewa eneo jingine.
Ni wapi huko wamepewa eneo?
ukaanza kuwaza hao ng'ombe wakipelekwa pale Mwamposa atapeleka wapi kondoo wakeMbeya nako kuna Tanganyika Packers?
Mi nilijua ni kawe tu.
Tawi la chuo cha Afya cha UDSM lipo Mbeya na hiyo Tanganyika packers naizungumzia ni ya Mbeya.Wanaudsm wanashida gani kwani kuelekea ubungo msewe na changanyiken kuna mieneo mikubwa tu ukija upande wa hall six na kanisani kuna mipori na mipor kwann wasijengee humo !?
Hii Tanganyika Packers iko maeneo gani Mbeya?Tawi la chuo cha Afya cha UDSM lipo Mbeya na hiyo Tanganyika packers naizungumzia ni ya Mbeya.