DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,983
- 11,857
Ni hatari aiseeeeh
=======
Mechi ya ligi ya daraja la kwanza Colombia iliahirishwa baada ya shabiki kuingia uwanjani na kumshambulia mchezaji ambapo mchezaji huyo alimkimbiza shabiki na kumuangusha chini.
Hii ilikuwa punde baada ya refa kupuliza kipenga kuashiria mchezo kuanza kati ya timu ya Deportes Tolima dhidi ya Millonaries, shabiki aliingia uwanjani na kumshambulia mchezaji Daniel Catano ambae anachezea Tolima
CHANZO: CNN