Colombia: Mechi yaahirishwa baada ya shabiki kumshambulia mchezaji, nae akajibu mapigo

Colombia: Mechi yaahirishwa baada ya shabiki kumshambulia mchezaji, nae akajibu mapigo

DullyJr

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
13,983
Reaction score
11,857
Ni hatari aiseeeeh

=======

Mechi ya ligi ya daraja la kwanza Colombia iliahirishwa baada ya shabiki kuingia uwanjani na kumshambulia mchezaji ambapo mchezaji huyo alimkimbiza shabiki na kumuangusha chini.

Hii ilikuwa punde baada ya refa kupuliza kipenga kuashiria mchezo kuanza kati ya timu ya Deportes Tolima dhidi ya Millonaries, shabiki aliingia uwanjani na kumshambulia mchezaji Daniel Catano ambae anachezea Tolima

CHANZO: CNN

 
Hili tatizo la kutogusa mpira mechi nzima limeanza kuwa sugu kwa mastar wa Yanga. Watafanya ligi yetu ionekane ya vilaza. Inabidi Nabi alifanyie kazi.
Wewe nawe usiwe na akili za ovyo kiasi hiko.

Nipe list ya hao wachezaji ambao hawajagusa mpira ni wangapi nipe na majina yao.

Na wameingizwa dakika ya ngapi na katika mechi dhidi ya nani
 
Mbumbumbu katika ubora...
Utopolo
JamiiForums1344571577.jpg
 
Sasa hapo kwanini wameahirisha game? Huyo mchezaji angekula red basi
 
Shabiki redi kadi, na mchezaji redi kadi game iendelaa.
 
Back
Top Bottom