Wewe nawe usiwe na akili za ovyo kiasi hiko.Hili tatizo la kutogusa mpira mechi nzima limeanza kuwa sugu kwa mastar wa Yanga. Watafanya ligi yetu ionekane ya vilaza. Inabidi Nabi alifanyie kazi.
Afadhali hao ambao hawajagusa mpira kuna wengine hawajakanyaga nyasi za uwanjaHili tatizo la kutogusa mpira mechi nzima limeanza kuwa sugu kwa mastar wa Yanga. Watafanya ligi yetu ionekane ya vilaza. Inabidi Nabi alifanyie kazi.