Colonel Mamadi Doumboya: Rudini na kombe la sivyo mtarudisha hela

Colonel Mamadi Doumboya: Rudini na kombe la sivyo mtarudisha hela

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]hapo anawaambia msilete uboya
 
Hapo anamaanisha wakakaze sio kufungwa kiboya boya.
of course kuna mechi mkifungwa hamna hata lawama mnaona mmeonewa na mmepambana,Ila siyo kufungwa 7-0 Algeria vs taifa ,katafutwa kocha mzuri ,achague kikosi bora ya taifa ,ndege mnakodishiwa hadi viwanja vya kujenga then mnapigwa 7? Heri mrudishe hela
 
Back
Top Bottom