Colonel (rtd) Haruni Ramadhani Kondo : Alama za Anguko la CHADEMA / Signs of CHADEMA's Collapse

Wewe ni 'kichwa' na unamfahamu vizuri sana huyo Col rtd Kondo!

Sisi wengine leo ndiyo mara ya kwanza kumsikia akibwabwaja.

Ubarikiwe kwa uchambuzi yakinifu.
 
30 September 2026
Ukerewe, Mwanza
Tanzania

MWANZO MWISHO MHE. HECHE MKUTANO WA CHADEMA UKEREWE LEO 30.09.2026


View: https://m.youtube.com/watch?v=W-RpfhtNzFc
Makamu mwenyekiti CHADEMA John Heche akiendelea na shughuli za chama kukutana na wananchi


View: https://m.youtube.com/watch?v=vrq_QA0euV0John Heche awasomea wananchi wa Nansio Ukerewe final submission mawasilisho ya mwisho ya mheshimiwa Tundu Lissu aliyoyafanya mbele ya jopo la majaji 3 wa mahakama kuu ya Tanzania tarehe 28 September 2026...


HOTUBA KAMILI :

30 September 2026 LIVE: HECHE ANAFUNGUKA MAZITO UKEREWE MUDA HUU

View: https://m.youtube.com/watch?v=DiU0bx-A8lQHeche ilibidi avuke kwa mtumbwi kutoka Kisorya kwenda Ukerewe mchana huu, tayari kwa mkutano wa hadhara kisiwani Nansio Ukerewe.

Hii ni baada ya chama dola kwa miaka 64 kushindwa ...

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…