Pole sana,utawala wowote usiojari utu wa mtu ni utawala wa kishenzi hata kama ungejenga viwanja vya ndege nchi nzima na kuondoa kabisa kabisa vimelea vya maradhi katikati yetu achilia mbali hizo reli na train za mizigo.

Maelezo hayo uliyoyaweka yanaendana sana na serikali hii ya sasa ambayo imekuwa kwa vitendo haijali utu wa Watanzania, licha ya kauli mbiu ambazo ni kinyume cha hapo.Kiwango cha maendeleo ambacho serikali hii inakipima ni katika vitu badala ya watu.