simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
Run a robust economy, built railway, delivered health care, and most important provided sound education.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maelezo hayo uliyoyaweka yanaendana sana na serikali hii ya sasa ambayo imekuwa kwa vitendo haijali utu wa Watanzania, licha ya kauli mbiu ambazo ni kinyume cha hapo.Kiwango cha maendeleo ambacho serikali hii inakipima ni katika vitu badala ya watu.Pole sana,utawala wowote usiojari utu wa mtu ni utawala wa kishenzi hata kama ungejenga viwanja vya ndege nchi nzima na kuondoa kabisa kabisa vimelea vya maradhi katikati yetu achilia mbali hizo reli na train za mizigo.
Pole sana,utawala wowote usiojari utu wa mtu ni utawala wa kishenzi hata kama ungejenga viwanja vya ndege nchi nzima na kuondoa kabisa kabisa vimelea vya maradhi katikati yetu achilia mbali hizo reli na train za mizigo.