Nakubaliana nawewe kwa upande wa afrika kaskazini kweli ilikuwa imeendelea nadhani axum ndio kilikuwa chuo kikuu cha kwanza ila kwa huku kwetu afrika ya mashariki hali ilikuwaje?Wakati huo pia Africa ilikuwa imepiga hatua. pale Egypt ukitazama vitu alivozikwa navyo Mfalme Tutankhanum utaona kwamba miaka 3000 iliyopita (hata yesu hakuwa amekuja duniani) watu wali enjoy
Magradiator na wanyama mbalimbali waliwekwa kupigana, ni kama viwanja vya mipira sahv
huku sijawahi kukutana na Historia yake sidhani hata kama imeandikwa, Historia ya huku mara nyingi hutajwa ya miaka ya 1800 ambapo Mkwawa alikuwa na jeshi organisedNakubaliana nawewe kwa upande wa afrika kaskazini kweli ilikuwa imeendelea nadhani axum ndio kilikuwa chuo kikuu cha kwanza ila kwa huku kwetu afrika ya mashariki hali ilikuwaje?
Kuna Great Zimbabwe ,huku Afrika ya mashariki walikuwa wakiishi jamii za Khoisan ambao bado tekinolojia ilikuwa bado iko chini sana.Zanzibar na ukanda wa pwani walikuwa wamepiga hatua kuliko bara.Nakubaliana nawewe kwa upande wa afrika kaskazini kweli ilikuwa imeendelea nadhani axum ndio kilikuwa chuo kikuu cha kwanza ila kwa huku kwetu afrika ya mashariki hali ilikuwaje?