Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Ukifika mji mkuu wa italy Rome kuna jengo maarufu liko kama uwanja wa mpira linaitwa colloseum. Jengo hilo lilijengwa AD 70-80 kama miaka 1940 hivi iliyopita.
Maana yake ni kwamba baada ya miaka kama 70 hivi kupita toka yesu kristo kupaa mbinguni. Najiuliza sana wakati haya yanafanyika kule ulaya hapa Afrika tanzania hasa hapa busokelo nilipo palikuwaje na watu wake walikuwaje?