Colours.....Reflecting your Character as per your Birthdays

jamani ya ma lv ni kweli anaipenda hy rangi alafu ajabu mi ndo siipendi kabisa
 
Silver

You are imaginative and fun, You love trying new things.You like to challenge yourself and you learn things easily, you're easy to talk to and give good advice.When comes to friendship, you find it hard to trust someone, but once you find the right friend, you trust them forever.


Thanx😱
 
nyeupe inahusu lkn ina jambo moja ambalo ni tofauti saana na mimi.the rest sawa.
 

Truth in it.......:israel:
 
waoooooooooo haka kakipande ndio kamenitia moyo zaidi wa kusonga mbele!!!!

"You always have goals to reach and you really work hard to get there"
 
waoooooooooo haka kakipande ndio kamenitia moyo zaidi wa kusonga mbele!!!!

"You always have goals to reach and you really work hard to get there"

Susy nilikuwa nakusubiri useme,yako ni ipi maana umenyofoa kakipande tu
 
da,mi huwa siamini sana kwenye hizi mambo ila hiyo 'Navy' yani imenielezea kabsa!sijui hata wanafanyaje bana!ila kuna siku nilimwona yule mwana-mazingaombwe wa U.S.A,Criss Angel akielezea vitu hivi (au vinavofanana na hivi)kama ni utapeli flani tu.sikuzingatia,though.
 
Haya ni mambo ya ushehe yahaya...yanaharibu akili...
btw.rangi zote zinaweza mpata mtu kwa wakati tofauti..its dynamic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…