Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mimi silver........
Mi nimeangukia kwenye mrangi nisioupenda kuliko yote.
Yeboyebo colour: MRANGI WA YANGA. YELLOW!🙁🙁🙁!!!! dah
Purple
![]()
You are Mysterious, never selfish and get interested in things easily. Your day can be Sad or Happy depending on your mood.You are popular between friends but you can act stupid at times,and forget things easliy.You go for a person that's trustworthy.
ah my best color puple
...heri yetu wenye Rangi ya Chungwa 😀
Mi sisemi kitu maana nahisi yangu imesadifu....ila imenitisha.
mbu na wewe ni july
hiv kuna ukweli hapo...mmmh
waoooooooooo haka kakipande ndio kamenitia moyo zaidi wa kusonga mbele!!!!
"You always have goals to reach and you really work hard to get there"
Hebu tuelee yanavyoharibu akiliHaya ni mambo ya ushehe yahaya...yanaharibu akili...
btw.rangi zote zinaweza mpata mtu kwa wakati tofauti..its dynamic