Lakini ni afadhali actors wetu wazalendo kuliko wale wanajeshi walioiba vitu kwenye mall kule westgate na kunywa pombe.Mbona povu?imagine nilikiuwa nadhani hao ni ma actors, kumbe jeshi duuuh. still amateur actors.
Alshababi wenyewe wanawanshinda wanaingia mpaka ndani kwenu wanauwa , nenda Kongo uliza 2023 wanakuwambia cc ninani ,sijui kwanini baadhi yawakenya Wana wivu wakike juu yatanzaniaoya kuja pole pole, wapasua matofali hao wanamtisha nani? iliwachukua mda gani ku cram hizo moves mkuu? yani actors kabisa, hapo jeshini mna acting school? nimeona talanta mbili tatu hapo kwa hao waigizaji. hahaha am no whore.
Kuna tatizo hapa!HAHAHAHAHA wapasua matofali, fcking actors.
Kazi yako ni commentator sio, imekubidi utumie neno 'fucking' kwanini usikosoe kistaarabu.mbona ni jaribu ilhali hiyo sio kazi yangu
usibishane na huyu dada, maana anaonekana aidha yu ktk balehe au hajabalehe, msijewekwa kundi moja maana anonekana hana adabu na ana roho ya ukabila!Sasa kama unajua sio yako kwanin unachonga ngenga???by the way zile ni show off tuu kijana usipende kudharau kazi za watu
Hata spelling zinakushinda, umenikasirisha na dharau zako hilo napuuzia ila sasa kwanini matusi! kwani unachuki gani na JWTZ? unaruhusiwa kukosoa kistaarabu lakini matusi hayavumiliki!Naona pia wewe 'commando' hahaha f*cking armatures
But why all this?oya kuja pole pole, wapasua matofali hao wanamtisha nani? iliwachukua mda gani ku cram hizo moves mkuu? yani actors kabisa, hapo jeshini mna acting school? nimeona talanta mbili tatu hapo kwa hao waigizaji. hahaha am no whore.
kwa matusi hayo povu lazima, hakukuwa na haja ya matusi.Mbona povu?imagine nilikiuwa nadhani hao ni ma actors, kumbe jeshi duuuh. still amateur actors.
nimekushauri uachane na huu ubishi, yeye anavuna hasira zako, kuna namna nyingine za kistaarabu(n.k.) za ku deal na wasio na adabu.Alshababi wenyewe wanawanshinda wanaingia mpaka ndani kwenu wanauwa , nenda Kongo uliza 2023 wanakuwambia cc ninani ,sijui kwanini baadhi yawakenya Wana wivu wakike juu yatanzania
Jeshi letu na mawazo ya wanasiasa uchwara.HAHAHAHAHA wapasua matofali, fcking actors.
Makomandoo wafupi wapo Tanzania ya sasa, na duniani wapo Tanzania tu. Kipindi cha Mwalimu Nyerere, makomandoo, jwtz na ffu walikuwa warefu.toka nimeanza kuwaangalia macomando wa Tanzania sijawahi kuona comando mfupi. inamaana Tanzania hamna watu wafupi ambao wanauwezo wa kuwa macomando?
ubinafsi ndio ulitufikisha hapa.toka nimeanza kuwaangalia macomando wa Tanzania sijawahi kuona comando mfupi. inamaana Tanzania hamna watu wafupi ambao wanauwezo wa kuwa macomando?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Naona pia wewe 'commando' hahaha f*cking armatures
Commando wannabee.Naona pia wewe 'commando' hahaha f*cking armatures
Hata spelling zinakushinda, umenikasirisha na dharau zako hilo napuuzia ila sasa kwanini matusi! kwani unachuki gani na JWTZ? unaruhusiwa kukosoa kistaarabu lakini matusi hayavumiliki!
Na hapo ndipo tunapata makomandoo wafupi wasio na vipaji.shida watu wanaoingia jeshi sio watu sahihi vipaji vinabaki mtaani wazembe wanabebwa na ela kwenye usaili wanapita
Hahahaha acting? are you serious ? Unadhani JWTZ Ni Kama wanajeshi wenu mayai?oya kuja pole pole, wapasua matofali hao wanamtisha nani? iliwachukua mda gani ku cram hizo moves mkuu? yani actors kabisa, hapo jeshini mna acting school? nimeona talanta mbili tatu hapo kwa hao waigizaji. hahaha am no whore.
Je Malawi watatishika na mikanda ya video ya makomandoo wafupi.?Nadhani hizi ni salam tosha kwa Malawi wanaotaka kumilki ziwa Nyasa peke yao, sis tusivue "mbasa"🙁