Comando from Tanzania episode three

Comando from Tanzania episode three

oya kuja pole pole, wapasua matofali hao wanamtisha nani? iliwachukua mda gani ku cram hizo moves mkuu? yani actors kabisa, hapo jeshini mna acting school? nimeona talanta mbili tatu hapo kwa hao waigizaji. hahaha am no whore.
Alshababi wenyewe wanawanshinda wanaingia mpaka ndani kwenu wanauwa , nenda Kongo uliza 2023 wanakuwambia cc ninani ,sijui kwanini baadhi yawakenya Wana wivu wakike juu yatanzania
 
Sasa kama unajua sio yako kwanin unachonga ngenga???by the way zile ni show off tuu kijana usipende kudharau kazi za watu
usibishane na huyu dada, maana anaonekana aidha yu ktk balehe au hajabalehe, msijewekwa kundi moja maana anonekana hana adabu na ana roho ya ukabila!
 
oya kuja pole pole, wapasua matofali hao wanamtisha nani? iliwachukua mda gani ku cram hizo moves mkuu? yani actors kabisa, hapo jeshini mna acting school? nimeona talanta mbili tatu hapo kwa hao waigizaji. hahaha am no whore.
But why all this?
 
Alshababi wenyewe wanawanshinda wanaingia mpaka ndani kwenu wanauwa , nenda Kongo uliza 2023 wanakuwambia cc ninani ,sijui kwanini baadhi yawakenya Wana wivu wakike juu yatanzania
nimekushauri uachane na huu ubishi, yeye anavuna hasira zako, kuna namna nyingine za kistaarabu(n.k.) za ku deal na wasio na adabu.
 
toka nimeanza kuwaangalia macomando wa Tanzania sijawahi kuona comando mfupi. inamaana Tanzania hamna watu wafupi ambao wanauwezo wa kuwa macomando?
Makomandoo wafupi wapo Tanzania ya sasa, na duniani wapo Tanzania tu. Kipindi cha Mwalimu Nyerere, makomandoo, jwtz na ffu walikuwa warefu.

Leo hii utakutana na askari mwenye urefu wa futi tano. Unajiuliza hapa imekuwaje?
 
Hata spelling zinakushinda, umenikasirisha na dharau zako hilo napuuzia ila sasa kwanini matusi! kwani unachuki gani na JWTZ? unaruhusiwa kukosoa kistaarabu lakini matusi hayavumiliki!

lay off that reply button for a minute bruh, like 10 times you quoting me, whats good? nimeboeka nikaona niwatafash kidogo, I know y'all a sensitive bunch especially when one mentions those actors you call soldiers. Question chief, hivi wapi wata apply hizo tactics except bar brawls na kuzima fujo mtaani?
 
oya kuja pole pole, wapasua matofali hao wanamtisha nani? iliwachukua mda gani ku cram hizo moves mkuu? yani actors kabisa, hapo jeshini mna acting school? nimeona talanta mbili tatu hapo kwa hao waigizaji. hahaha am no whore.
Hahahaha acting? are you serious ? Unadhani JWTZ Ni Kama wanajeshi wenu mayai?

Unahaki ya kusema hivyo maana wanajeshi wa Kenya hata gwaride hawajui..!!
 
Back
Top Bottom