Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CBG imefutwaHabari wana JF, Tamisemi ilitangaza kuhusu mtaala mpya wa elimu ikiwemo na kuongezeka kwa combinations mpya ila mtaani nasikia ya kwamba kuna combinations zimefutwa ningependa mtu anijulishe ni comb zipi zilizofutwa?
Sio kweli
Toa uthibitishoSio kweli
Uthibitisho huu hapa njoo na mrejesho kama nimethibitisha au nimepiga porojoToa uthibitisho
Sawa mwanzo walikuwa na mjadala wa kuifuta kama imeachwa ni sawa ila sio combination ya real science kama PCB, CBN na CBA.Uthibitisho huu hapa njoo na mrejesho kama nimethibitisha au nimepiga porojo
PGM pia imefutwa.Habari wana JF, Tamisemi ilitangaza kuhusu mtaala mpya wa elimu ikiwemo na kuongezeka kwa combinations mpya ila mtaani nasikia ya kwamba kuna combinations zimefutwa ningependa mtu anijulishe ni comb zipi zilizofutwa?
NdioPGM pia imefutwa.