wana JF naomba ushauri wenu kuhusu hizi combination kati ya PGM na PCM ni ipi ina manufaa hapo baadae?
Nenda PCM acha mbwembe !
Nenda PCM !
Maisha Mterezo !
ina manufaa hapo baadae wapi??
kwani akisoma PGM hawezi kusoma uhandisi??Manufaa yake ni kumwezesha kusoma masomo ya uhandisi endapo tu atafanikiwa kuchaguliwa kuendelea na elimu ya juu pindi amalizapo kidato cha sita, hii ni kwa mfumo wa Tanzania.
kwani akisoma PGM hawezi kusoma uhandisi??
hapo sijaona combination nzuri, combination nzuri ni ya Suarez, strudge , sterling na coutinho yaani hapo ni zaidi ya chemistrywana JF naomba ushauri wenu kuhusu hizi combination kati ya PGM na PCM ni ipi ina manufaa hapo baadae?
wana JF naomba ushauri wenu kuhusu hizi combination kati ya PGM na PCM ni ipi ina manufaa hapo baadae?
..hapo ndo swadakta maana swali lake au hitaji lake nila jumla hajaeleweka anahitaji niniPia mleta mada angebainisha malengo yake ya baadaye, yani anataka kua nani ili tumpe ushauri mujarabu, au unaonaje ndugu pierre tall?
ni sahihi kabisa ndugu mjumbe kwa sababu inatakiwa aoneshe nini anahitaji mbeleni.Pia mleta mada angebainisha malengo yake ya baadaye, yani anataka kua nani ili tumpe ushauri mujarabu, au unaonaje ndugu pierre tall?
Sababu ya msingi ya ku-opt PCM badala ya kozi nyingine yoyote ile, ni flexibility unapotaka kusoma elimu ya juu! Mathalani, unaweza ukakuta soko la ajira linahitaji sana Wahasibu na hivyo ukaamua kusoma ECA! Hadi unamaliza, unakuta soko la ajira limebadilika linahitaji sana Wahandisi... huwezi ku-change kirahisi... from ECA to Uhandisi.. labda urudi tena darasani! In contrast, tuseme soko la ajira linahitaji sana waandisi na wewe ukaamua kusoma PCM ku-meet hiyo demand, unfortunately, unapomaliza unakuta soko la ajira linahitaji wa Wahasibu! Hapo bado utakuwa hujapoteza coz' with your PCM still you've great chance to be admitted in Accounts.ina manufaa hapo baadae wapi??