Combination ipi ni nzuri

Combination ipi ni nzuri

AIZO RICH

Member
Joined
Apr 17, 2014
Posts
10
Reaction score
1
wana JF naomba ushauri wenu kuhusu hizi combination kati ya PGM na PCM ni ipi ina manufaa hapo baadae?
 
Nenda PCM acha mbwembe !
Nenda PCM !


Maisha Mterezo !
 
ina manufaa hapo baadae wapi??

Manufaa yake ni kumwezesha kusoma masomo ya uhandisi endapo tu atafanikiwa kuchaguliwa kuendelea na elimu ya juu pindi amalizapo kidato cha sita, hii ni kwa mfumo wa Tanzania.
 
Manufaa yake ni kumwezesha kusoma masomo ya uhandisi endapo tu atafanikiwa kuchaguliwa kuendelea na elimu ya juu pindi amalizapo kidato cha sita, hii ni kwa mfumo wa Tanzania.
kwani akisoma PGM hawezi kusoma uhandisi??
 
Pia mleta mada angebainisha malengo yake ya baadaye, yani anataka kua nani ili tumpe ushauri mujarabu, au unaonaje ndugu pierre tall?
 
Last edited by a moderator:
Zote ni nzuri na zote zina nafasi sawa huko mbeleni manake kinachomata ni hiyo physics na hesabu


Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Soma zako hkl tu kijana..ushawah kuona mhandisi wa bongo ameweza hata kutengeneza kigoda?
 
wana JF naomba ushauri wenu kuhusu hizi combination kati ya PGM na PCM ni ipi ina manufaa hapo baadae?
hapo sijaona combination nzuri, combination nzuri ni ya Suarez, strudge , sterling na coutinho yaani hapo ni zaidi ya chemistry
 
wana JF naomba ushauri wenu kuhusu hizi combination kati ya PGM na PCM ni ipi ina manufaa hapo baadae?

PCM better than PGM
ushahidi ingia. www.tcu.ac.tz
cheki tcu guide book ....angalia requirements za kozi mbali mbali
 
ina manufaa hapo baadae wapi??
Sababu ya msingi ya ku-opt PCM badala ya kozi nyingine yoyote ile, ni flexibility unapotaka kusoma elimu ya juu! Mathalani, unaweza ukakuta soko la ajira linahitaji sana Wahasibu na hivyo ukaamua kusoma ECA! Hadi unamaliza, unakuta soko la ajira limebadilika linahitaji sana Wahandisi... huwezi ku-change kirahisi... from ECA to Uhandisi.. labda urudi tena darasani! In contrast, tuseme soko la ajira linahitaji sana waandisi na wewe ukaamua kusoma PCM ku-meet hiyo demand, unfortunately, unapomaliza unakuta soko la ajira linahitaji wa Wahasibu! Hapo bado utakuwa hujapoteza coz' with your PCM still you've great chance to be admitted in Accounts.
 
Mawazo ya kizamani sana hayo....

Nyinyi mtapigika weeee.mkifika duniani mtakuta watu waliosomea Sayansi jamii pale Sinza shekilango wanakula mema ya nchi kuliko nyinyi. Wenzenu wengi nikiwamo mimi tulidhani kuchukua Sayansi ndiyo kutoboza kimaisha tukajikuta tunabadili mwelekeo tulipofika UDSM wengine wakachukua Bcom, wengine tukaishia kuhamia Computer Engineering japo shuleni hakukuwahi kuwa na Kombi kama hiyo.

Ukitaka mafao ya chapchap zaidi hamia kwenye SIASA...
 
Back
Top Bottom