Sababu ya msingi ya ku-opt PCM badala ya kozi nyingine yoyote ile, ni flexibility unapotaka kusoma elimu ya juu! Mathalani, unaweza ukakuta soko la ajira linahitaji sana Wahasibu na hivyo ukaamua kusoma ECA! Hadi unamaliza, unakuta soko la ajira limebadilika linahitaji sana Wahandisi... huwezi ku-change kirahisi... from ECA to Uhandisi.. labda urudi tena darasani! In contrast, tuseme soko la ajira linahitaji sana waandisi na wewe ukaamua kusoma PCM ku-meet hiyo demand, unfortunately, unapomaliza unakuta soko la ajira linahitaji wa Wahasibu! Hapo bado utakuwa hujapoteza coz' with your PCM still you've great chance to be admitted in Accounts.