Wana JF Idd Mubarak
Nataka kuuliza hivi mtu anaesoma combination ya CBG anaweza kufanya course gani university ...?
Na ni shule gani bora kwa sasa hivi ambayo ina CBG
Kindly advice
Wana JF Idd Mubarak
Nataka kuuliza hivi mtu anaesoma combination ya CBG anaweza kufanya course gani university ...?
Na ni shule gani bora kwa sasa hivi ambayo ina CBG
Kindly advice
ThanksTambaza...
Thanks kiongozikiukweli hamna shule bora ya CBG ya serikali bali ni kwa kombi za pcb,hgl,&pcm, au kidogoo taboragirlz