Combination ya CBG

Combination ya CBG

trplmike

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
701
Reaction score
777
Wana JF Idd Mubarak
Nataka kuuliza hivi mtu anaesoma combination ya CBG anaweza kufanya course gani university ...?
Na ni shule gani bora kwa sasa hivi ambayo ina CBG

Kindly advice
 
Wana JF Idd Mubarak
Nataka kuuliza hivi mtu anaesoma combination ya CBG anaweza kufanya course gani university ...?
Na ni shule gani bora kwa sasa hivi ambayo ina CBG

Kindly advice

unaweza kusoma agriculture in general,aquaculture,forest,veterinary medicine na ukifaulu vizuri unaweza kusoma architecture,microbiology,geology na nyingine nyingi
 
Asante kwa taarifa. Na ni shule gani ambayo inakubalika kwenye hii combination? Shule na serikali hata private pia
 
Wana JF Idd Mubarak
Nataka kuuliza hivi mtu anaesoma combination ya CBG anaweza kufanya course gani university ...?
Na ni shule gani bora kwa sasa hivi ambayo ina CBG

Kindly advice

kiukweli hamna shule bora ya CBG ya serikali bali ni kwa kombi za pcb,hgl,&pcm, au kidogoo taboragirlz
 
Back
Top Bottom