Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Na fisi anapenda nyamaFisi wewe...Ningekutukana ila cha tu..unakera sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na fisi anapenda nyamaFisi wewe...Ningekutukana ila cha tu..unakera sana
Kama umemuelewa mleta mada hajalenga sana clean sheet za ligi ya ndani ambako unakutana na timu zenye safu dhaifu ya ushambiliaji hapa tumewaza kuhusu klabu bingwa zaidi na aina ya beki kama Ouatarra ambaye anaonekana ni mzito kukimbia hata kutake action kwa haraka ni shidaWapi uliona mchezaji asiye na udhaifu?
Huo ni udhaifu wa Outara na timu means kubebeana madhaifu ,wewe unataka wachezaji wafanane quality hii haiwezekani
Hata hivyo mimi nashangaa tena sana ni hiyo backline ina cleansheat 3 katika mechi tano ilizocheza kuna mtu kacheza nne ana cleansheat 1 ila bado hasemwi eti ana udhaifu wa beki zake
Washaurini na mashabiki mtulie msiwe vigeugeu Outtara mlimsifu sana na sasa mnapomkosoa tambueni mnaonekana mnatumia haki yenu ya kutoa maoni tu nothing more hakuna timu isiyo na udhaifu ,kazi ya kocha ni kuziba udhaifu huo
mimi nina concerns na kina big bullets, primero de agosto mtu analeta story za clean sheets za kagera sugarKama umemuelewa mleta mada hajalenga sana clean sheet za ligi ya ndani ambako unakutana na timu zenye safu dhaifu ya ushambiliaji hapa tumewaza kuhusu klabu bingwa zaidi na aina ya beki kama Ouatarra ambaye anaonekana ni mzito kukimbia hata kutake action kwa haraka ni shida
Kocha inaonekana analazimisha kivyovyote huyu jamaa awe chaguo la kwanza lakini kiuwezo hana anachomzidi Onyango labda tu kupiga pasi rula ndio anajua ila kukaba ni mweupe sana