Combination ya PCM ime balance Yanga Au kihasibu Yanga Sasa tuna CPA😅

Combination ya PCM ime balance Yanga Au kihasibu Yanga Sasa tuna CPA😅

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Ujio wa Chama utaleta mabadiliko makubwa.
Ni Gamondi mwenyewe kuamua atumie mfumo Gani?
Comb ya PCM , pacome, Chama, Max.
Au kihasibu tuseme Yanga tumefuzu Kwa CPA.
CPA Chama Pacome Aziz ki.
Mbumbumbu Kwa combination hii mtakula za kutosha dadek.
Shukran Kwa Eng Hersi Said.
.yanga bingwa tena.
 
Ila utopolo mnachekesha kweli.

Chama huyuhuyu mliyekuwa mnasema anakimbia kama konokono,

Chama huyuhuyu mliyekuwa mnasema ni Mzee,

Chama huyuhuyu mliyekuwa mnasema anapoza mipira,

Chama huyuhuyu ambae simba wamemfaidi ujana wake halafu uzee mnakuja kula naye ndiye aipeleke Yanga nchi ya asali na maziw,?

Labda! Ngoja nitunze akiba ya maneno.
 
Kihasibu chama kutua yanga imekaaje? Au ni hasara kama azizi ki
Kihasibu kwetu Simba Sc ni free disposal of unserviceable asset. Hii asset carrying amount yake ilikuwa NIL 0 yaani full depreciated. Hata hatukuwa na muda wa kufanyia revaluation kujua kama kuna hasara au faida.

We just disclosed in the report that the NIL value unserviceable asset has been disposed.
 
Kihasibu kwetu Simba Sc ni free disposal of unserviceable asset. Hii asset carrying amount yake ilikuwa NIL 0 yaani full depreciated. Hata hatukuwa na muda wa kufanyia revaluation kujua kama kuna hasara au faida.

We just disclose in the report that the NIL value unserviceable asset has been disposed.
Hasibu la hovyo kuwahi kutokea tz
 
Kihasibu kwetu Simba Sc ni free disposal ofema unserviceable asset. Hii asset carrying amount yake ilikuwa NIL 0 yaani full depreciated. Hata hatukuwa na muda wa kufanyia revaluation kujua kama kuna hasara au faida.

We just disclose in the report that the NIL value unserviceable asset has been disposed.
Nakuomba mkuu sema neno lolote baya Kwa Chama ndo liwe baraka kwake
Nakuomba lakini
 
Kapuku hujachangia hata 100 kumpa.huyo Chama yet uko hapa unabinua mdomo na kuongea hovyo.
 
Back
Top Bottom