Combination ya PCM ime balance Yanga Au kihasibu Yanga Sasa tuna CPA😅

Kanjanja kama kawaida yako,anzisha Uzi kabisa.
 
Kesha hama itabaki kuwa historia
 
Unauzungumziaje huu usajili kihasibu/
 
Hahahahaha
 
Sisi kama wananchi tunatunza komenti yako na ulivyo na bahati mbaya mambo huwa yanakugeuka.
 
Alikuwa ni Non Current Asset held for disposal
 
Ndiyo wakome sasa.
 
Aaahhh Mwasibu feki OKW CPA uchwara SUNZU BOBAN umeibuka jombi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…