Side huyo side mnyamwezi[emoji445][emoji445] Akitaka kumvua kimini...anaanguka chini
Akitaka kumsogelea..mara anapotea
Akitaka kumkumbatia ...mara anageuka ngamia[emoji445]
Amekoma Side
Bitoz mbona huonekani kule makapuku forum huku umenitoa mkuku nikafikiri wa wewe upo kule.[emoji445] Akitaka kumvua kimini...anaanguka chini
Akitaka kumsogelea..mara anapotea
Akitaka kumkumbatia ...mara anageuka ngamia[emoji445]
Amekoma Side
Hebu muite[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] unanionea
Ngoja aje umuulize
HaayaAkija uniamshe
[emoji2] [emoji2]Amekoma Side......
Kazi yangu ni kumfanya mtu asmile hata kinafiki tu...
- Hivi JF haina mahakama nifungue sababu huyu Bitoz asipovunja ndoa yangu atavunja mbavu zangu!!!!!! Nimechoka nimechoka na nimeshajitambulisha kuwa nina JFmilegne nina ugonjwa bajameni.
Ngeli za kiarifaTatizo lugha....
AVATAR YAKO NONO KWELI YAANI INANYE***GESHA.Ya kawaida tu ....sio zile chaichai
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]