Comeadians wa JF

Namora

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
410
Reaction score
1,014
Kuna watu ukisoma mada zao hadi unabaki unajiuliza huyu mtu ana umri gani? Yaani kila anachoandika lazima ucheke.
-Dj Nalimison, huyu bro yaani hua ananichekesha sana hekaheka zake za usanii na kufanyiwa figisu
Juma1967 / ABDALLAH Kichwaz, huyu jamaa ana nyuzi zake na coments zake zavituko kweli. Eti marasto Arusha wavuliwa ubingwa na wazungu, mara Bodaboda wanapasuliwa spika ajili ya DoublekickπŸ˜…
Daktari wa menoπŸ˜…πŸ˜…
Stress Challenger /Maghayo jinga sana huyu mtuπŸ˜…
Ongezeni wengine
 
Watu mna moyo. Dj nalimi anakuchekesha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…