Namora
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 410
- 1,014
Kuna watu ukisoma mada zao hadi unabaki unajiuliza huyu mtu ana umri gani? Yaani kila anachoandika lazima ucheke.
-Dj Nalimison, huyu bro yaani hua ananichekesha sana hekaheka zake za usanii na kufanyiwa figisu
Juma1967 / ABDALLAH Kichwaz, huyu jamaa ana nyuzi zake na coments zake zavituko kweli. Eti marasto Arusha wavuliwa ubingwa na wazungu, mara Bodaboda wanapasuliwa spika ajili ya Doublekick😅
Daktari wa meno😅😅
Stress Challenger /Maghayo jinga sana huyu mtu😅
Ongezeni wengine