Zero Conscious
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 254
- 519
- Thread starter
- #21
Mkuu sijui wanakwama wapi tuBongo comedians wengi ili ucheke, lazima kwamza acheke sana ndipo ujue ameongea kwenye kichekesho.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu sijui wanakwama wapi tuBongo comedians wengi ili ucheke, lazima kwamza acheke sana ndipo ujue ameongea kwenye kichekesho.
Nani aliyecheka?Kanyaga na Muziki East africa nzima best top10 lazima watoke Tz na konde gang kama kifungashio cha list[emoji16][emoji23].
Anyway sio lazima muzidiane kwa kila jambo, hata USA mpira wa miguu kwao ni tatizo lkn walete kwenye michezo ya tennis&music& movies entertainment ni baraaa,
Hivyo basi tusichekane kila mtu ajivunie alichopewa
Huyu hapa "vinnie_ baite" Login • InstagramHivi yule jamaa anaesemaga Akili MTU wangu anaitwa nani yule. Hatumii nguvu kabisa
Tz kitu pekee mtu anafanya kwa umakini ni "umbea" hata muziki kinachotupitisha kwao ni kiswahili sanifu. Masauti na saut sol wangetosha kuwakalisha wasanii wengi bongo. Mondi alikuwa zamani sasahv anatumia jina tu.Kanyaga na Muziki East africa nzima best top10 lazima watoke Tz na konde gang kama kifungashio cha list[emoji16][emoji23].
Anyway sio lazima muzidiane kwa kila jambo, hata USA mpira wa miguu kwao ni tatizo lkn walete kwenye michezo ya tennis&music& movies entertainment ni baraaa,
Hivyo basi tusichekane kila mtu ajivunie alichopewa
Kwamba kwasasa kenya ipo juu kimziki kuliko Tz?Tz kitu pekee mtu anafanya kwa umakini ni "umbea" hata muziki kinachotupitisha kwao ni kiswahili sanifu. Masauti na saut sol wangetosha kuwakalisha wasanii wengi bongo. Mondi alikuwa zamani sasahv anatumia jina tu.
Vinnie baiteHivi yule jamaa anaesemaga Akili MTU wangu anaitwa nani yule. Hatumii nguvu kabisa
Fungua Uzi wako nawewe uelezee huo unafiki, tusiharibiane nyuzi🥺🥺Sema watanzania tumejaa unafki tu.
Anaitwa baiteHivi yule jamaa anaesemaga Akili MTU wangu anaitwa nani yule. Hatumii nguvu kabisa
Usisahau mchepuko wa mzee Ojwang, mama Kaninii.♦️Mzee Ojwang✅
♦️Olexanda josephat
♦️ Nyukakota
♦️Makhoha
♦️ Masakuu
♦️Mwala
♦️Mama kayayii
Hawa wote wa sasa kuanzia omondi na wote wa chunchil hakuna kitu
Wale walikuwa na commedy za vituko vinavyofundisha sio hawa wa sasa hivi akina omondy, hamo, wakija bongo ni habari za kuwaongelea akina diamond utafikiri tuna time nao.Usisahau mchepuko wa mzee Ojwang, mama Kaninii.
Ondiek Nyukakwata.
Vitimbi na vituko mahakamani ndio my favorite comedy show of all times.
Kama huu wako. Comedy Kenya. Mbio Kenya.Sema watanzania tumejaa unafki tu.