Comedian Kansime

Comedian Kansime

Huyu Dada yuko vzr sana sio hao wa kibongo pumba maandazi matupu eti stand up comedy ya kibongo
 
Kajinga hako siku nmekeleka nikajikuta nacheeeka simpendi kabisa. Et you used to call me kashoti
 
Yuko vozuri sana nishakuwa mtumwa wa 158 Dstv daily lzm nikutane nae huko!
 
Back
Top Bottom